WATANZANIA NA WANACHAMA(CDM) MNAHITAJI FREEMAN A. MBOWE AFANYE LIPI ZAIDI YA HILI?
Anaandika; MMM, Martin Maranja Masese(Mtikila) . Mhariri; Adv. Dedan Chacha Wangwe. Pichani; Juu ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania, Mhe. Freeman A. Mbowe . Chini ni Mwenyekiti wa Muungano wa Vyama pinzani (AZIMIO) Kenya, Mhe. Raila Odinga .